Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Jihadhari na Udanganyifu
    Mnara wa Mlinzi—2004 | Februari 15
    • Kwa kuwa ameazimia kuangamiza wanadamu wengi iwezekanavyo, yeye ‘anaipotosha dunia nzima inayokaliwa.’ (Ufunuo 12:9, 12) Shetani hadanganyi mara moja moja tu, bali yeye hujitahidi daima kuwapotosha wanadamu.a Anatumia njia yoyote ile ya udanganyifu anayoweza kupata, kutia ndani ujanja na hila, ili kupofusha akili za wasioamini na kuwazuia wasimkaribie Mungu. (2 Wakorintho 4:4) Stadi huyo wa udanganyifu ameazimia hasa kuwameza wale wanaomwabudu Mungu “kwa roho na kweli.” (Yohana 4:24; 1 Petro 5:8)

  • Jihadhari na Udanganyifu
    Mnara wa Mlinzi—2004 | Februari 15
    • a Kitabu kimoja cha kitaalamu kinasema kwamba aina ya kitenzi ambacho kimetafsiriwa ‘anaipotosha’ katika Ufunuo 12:9, “kinaonyesha kitendo cha kuendelea ambacho kimekuwa zoea.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki