Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kupambana na Hayawani Wawili Wakali Sana
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • “Na yeye huongoza vibaya wale ambao hukaa juu ya dunia, kwa sababu ya ishara ambazo yeye alipewa ruhusa kufanya katika mwono wa hayawani-mwitu, huku akiambia wale ambao hukaa juu ya dunia wafanye mfano kwa hayawani-mwitu ambaye alikuwa na dharuba-upanga na hata hivyo akahuika.

  • Kupambana na Hayawani Wawili Wakali Sana
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • Ufunuo 13:14,

  • Kupambana na Hayawani Wawili Wakali Sana
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • 29. (a) Ni nini kusudi la mfano wa hayawani-mwitu, na mfano huo uliundwa lini? (b) Ni kwa nini mfano wa hayawani-mwitu si sanamu tu isiyo na uhai?

      29 Huu “mfano wa hayawani-mwitu” ni nini, na kusudi lao ni nini? Kusudi lao ni kuendeleza ibada ya hayawani-mwitu mwenye vichwa saba ambaye huo ni mfano wake na hivyo, kwa kweli, kudumisha kuwako kwa hayawani-mwitu. Huu mfano unaundwa baada ya hayawani-mwitu mwenye vichwa saba kupona dharuba yake ya upanga, yaani, baada ya vita ya ulimwengu ya kwanza. Si sanamu isiyo na uhai, kama ile aliyosimamisha Nebukadreza kwenye nyanda za Dura. (Danieli 3:1) Hayawani-mwitu huvuvia uhai ndani ya mfano huu hivi kwamba mfano unaweza kuishi na kutimiza daraka katika historia ya ulimwengu.

      30, 31. (a) Mambo ya hakika ya historia ya ulimwengu yanautambulisha mfano huu kuwa nini? (b) Je! wowote wameuawa kwa kukataa kuabudu mfano huu? Fafanua.

      30 Kutimia kwa historia hutambulisha mfano huu kuwa tengenezo lililopendekezwa, lililoendelezwa, na kutegemezwa na Uingereza na United States na hapo kwanza likijulikana kuwa Ushirika wa Mataifa.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki