-
“Babuloni Mkubwa Ameanguka!”Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
“Na mimi nikaona, na, tazama! wingu jeupe, na juu ya wingu mtu fulani ameketi kama mwana wa binadamu, akiwa na taji la dhahabu juu ya kichwa chake na mundu mkali katika mkono wake.
-
-
“Babuloni Mkubwa Ameanguka!”Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
22. (a) Ni nani anayevaa taji la dhahabu na kuketi juu ya wingu jeupe? (b) Upeo wa kazi ya kuvuna unatukia lini, na jinsi gani?
22 Utambulisho wa mmoja anayeketi juu ya wingu jeupe hauna shaka. Kwa wazi, aketiye juu ya wingu jeupe, hushabihi “mwana wa binadamu” na mwenye taji la dhahabu, ni Yesu, Mfalme wa Kimesiya ambaye Danieli aliona pia katika njozi. (Danieli 7:13, 14; Marko 14:61, 62)
-