Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kasirani ya Mungu Yaletwa Kwenye Tamati
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • Na mimi nikasikia malaika aliye na amri juu ya maji akisema: ‘Wewe, Mmoja ambaye yuko na ambaye alikuwako, Mshikamanifu, u mwadilifu, kwa sababu wewe umekata maamuzi haya, kwa sababu wao walimimina damu ya watakatifu na ya manabii, na wewe umewapa damu wanywe. Wao hustahili hiyo.’

  • Kasirani ya Mungu Yaletwa Kwenye Tamati
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • Ufunuo 16:4-

  • Kasirani ya Mungu Yaletwa Kwenye Tamati
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • 10. “Malaika aliye na amri juu ya maji” anajulisha nini, na ni ushahidi gani ambao “madhabahu” inaongezea?

      10 “Malaika aliye na amri juu ya maji,” yaani, malaika amiminaye bakuli hili juu ya maji, anatukuza Yehova kuwa ndiye Hakimu wa Ulimwengu Wote Mzima, ambaye maamuzi yake ya uadilifu ni kamili. Kwa hiyo, yeye anasema juu ya hukumu hii: “Wao hustahili hiyo.” Pasipo shaka, huyo malaika alijionea mwenyewe umwagaji-damu mwingi na ukatili uliochochewa na mafundisho bandia na falsafa za ulimwengu huu mbovu kwa muda wa maelfu mengi ya miaka. Kwa sababu hiyo, yeye anajua kwamba uamuzi wa hukumu wa Yehova ni wa haki.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki