-
Kufungua Kufuli ya Siri TakatifuUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
Watu wowote waliopinga mafundisho au mamlaka ya kanisa walikandamizwa bila rehema, na maelfu yasiyohesabika ya wale walioitwa eti wazushi wa kidini waliteswa-teswa mpaka kifo au wakachomwa penye nguzo. Hivyo Shetani alijitahidi kuhakikisha kwamba mbegu yoyote ya kweli ya tengenezo la Yehova lililo mfano wa mwanamke ingepondwa-pondwa kwa haraka sana. Wakati ule uasi au Mapinduzi Makuu ya Kiprotestanti yalipotukia (kuanzia 1517 na kuendelea), makanisa mengi ya Kiprotestanti yalidhihirisha roho ile ile ya kutovumilia. Hayo vilevile yakawa yenye hatia ya damu kwa kuwaua kwa sababu ya imani yao wale wote waliojaribu kuwa washikamanifu kwa Mungu na Kristo. Kweli kweli, “damu ya watakatifu” ilimwagwa kwa wingi sana!—Ufunuo 16:6; linga Mathayo 23:33-36.
-
-
Kufungua Kufuli ya Siri TakatifuUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
[Picha katika ukurasa wa 31]
Dini ya Jumuiya ya Wakristo ilijiletea hatia ya damu kubwa kwa kunyanyasa na kuua wale waliotafsiri, wakasoma, au hata wakawa na Biblia
-