Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kasirani ya Mungu Yaletwa Kwenye Tamati
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • Na mimi nikasikia madhabahu ikisema: ‘Ndiyo, Yehova Mungu, Mweza Yote, ya kweli na ya uadilifu ni maamuzi yako ya hukumu.’”—Ufunuo 16:4-7, NW.

  • Kasirani ya Mungu Yaletwa Kwenye Tamati
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • Hata “madhabahu” ya Mungu inasema kwa mpaazo. Kwenye Ufunuo 6:9, 10, nafsi za wale ambao waliuawa kiimani husemwa kuwa kwenye msingi wa madhabahu hiyo. Kwa hiyo “madhabahu” inaongeza ushahidi wenye nguvu nyingi kwa habari ya haki na uadilifu wa maamuzi ya Yehova.a Hakika, inawafaa wale ambao wamemwaga na kutumia vibaya damu wenyewe wanyweshwe damu kinguvu, kama ufananisho wa Yehova kuwahukumia kifo.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki