-
Kasirani ya Mungu Yaletwa Kwenye TamatiUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
“Na meme na sauti na ngurumo zikatukia, na tetemeko la dunia kubwa likatukia kama ambalo halikuwa limetukia tangu watu walipokuja kuwa juu ya dunia, tetemeko la dunia lenye kuenea mno, kubwa mno.
-
-
Kasirani ya Mungu Yaletwa Kwenye TamatiUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
38. Ni nini kinachofananishwa na (a) “tetemeko la dunia kubwa”? (b) uhakika wa kwamba “jiji kubwa,” Babuloni Mkubwa, linatengana kuwa “sehemu tatu”? (c) uhakika wa kwamba “kila kisiwa kilikimbia, na milima haikupatikana”? (d) “tauni ya mvua-mawe”?
38 Kwa mara nyingine tena, bila kukosea Yehova anatenda kuelekea aina ya binadamu, hii ikiwa inaashiriwa na “meme na sauti na ngurumo.” (Linga Ufunuo 4:5; 8:5, NW.) Aina ya binadamu itatikiswa kwa njia ambayo haijatukia kamwe kabla ya hapo, kana kwamba kwa tetemeko la dunia lenye kukumba. (Linga Isaya 13:13; Yoeli 3:16.)
-