Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Sifuni Yah kwa Hukumu Zake!
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • kwa sababu hukumu zake ni za kweli na za uadilifu. Kwa maana yeye ametekeleza hukumu juu ya kahaba mkubwa ambaye alifisidi dunia kwa uasherati wake, na yeye amelipiza kisasi cha damu ya watumwa wake katika mkono wake.’

  • Sifuni Yah kwa Hukumu Zake!
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • Ufunuo 19:1-

  • Sifuni Yah kwa Hukumu Zake!
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • 3. Ni kwa sababu gani kahaba mkubwa amestahili sana hukumu yake?

      3 Ni kwa sababu gani kahaba mkubwa amekuwa mwenye kustahili sana hukumu hii? Kulingana na Sheria ambayo Yehova alitoa kwa Noa—na kupitia yeye kwa aina ya binadamu yote—kumwaga damu kimakusudi kunataka hukumu ya kifo. Taarifa hiyo ilitolewa tena katika Sheria ya Mungu kwa Israeli. (Mwanzo 9:6; Hesabu 35:20, 21) Zaidi ya hilo, chini ya Sheria ya Musa uzinzi wa kiroho na wa kimwili ulistahilisha kifo. (Walawi 20:10; Kumbukumbu 13:1-5) Kwa maelfu ya miaka, Babuloni Mkubwa amekuwa na hatia ya damu, na yeye ni mwasherati mbaya sana. Mathalani, sera ya Kanisa Katoliki la Roma ya kukataza mapadri walo kuoa imetokeza utovu wa adili mbaya sana upande wa wengi wao, na ni wengi wa hawa leo ambao wameambukizwa UKIMWI. (1 Wakorintho 6:9, 10; 1 Timotheo 4:1-3) Lakini madhambi yake makubwa, ‘yakitungamana pamoja moja kwa moja hadi mbinguni,’ ni matendo yalo yenye kugutusha ya uasherati wa kiroho—tendo hili la pili ni katika kufundisha mafundisho bandia na kujipanga upande mmoja na wanasiasa wafisadi. (Ufunuo 18:5)

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki