Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kuponda Kichwa cha Nyoka
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • “Sasa mara miaka elfu inapokwisha, Shetani ataachwa legelege nje ya gereza lake,

  • Kuponda Kichwa cha Nyoka
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • Ufunuo 20:7

  • Kuponda Kichwa cha Nyoka
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • 21. Kwa jitihada yake ya mwisho, Shetani anaendeleaje, na kwa nini haipasi kutushangaza kwamba wengine watafuata Shetani hata baada ya Utawala wa Miaka Elfu?

      21 Jitihada ya mwisho ya Shetani itakuwaje? Yeye anadanganya “yale mataifa katika kona nne za dunia, Gogu na Magogu,” na kuyaongoza kwenye “vita.” Ni nani angeweza kuchukua upande wa Shetani baada ya miaka elfu moja ya utawala wa kitheokrasi wenye shangwe, wenye kujenga? Basi, usisahau kwamba Shetani aliweza kuongoza vibaya Adamu na Hawa wakamilifu walipokuwa wakifurahia uhai katika Paradiso ya Edeni. Na yeye aliweza kupotosha malaika wa kimbingu ambao walikuwa wameona matokeo mabaya ya uasi wa awali kabisa. (2 Petro 2:4; Yuda 6) Kwa hiyo tusishangae kwa vile baadhi ya wanadamu wakamilifu watarubuniwa wafuate Shetani hata baada ya utawala wa Ufalme wa Mungu wa miaka elfu wenye kupendeza.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki