-
Siku ya Hukumu ya Mungu—Matokeo Yayo Yenye Shangwe!Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
Zaidi ya hayo, yeyote ambaye hakupatikana ameandikwa katika kitabu cha uhai alivurumishwa ndani ya ziwa la moto.” (Ufunuo 20:14, 15, NW)
-
-
Siku ya Hukumu ya Mungu—Matokeo Yayo Yenye Shangwe!Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
Kwa wazi ni hapa mwishoni mwa miaka elfu, ndipo Shetani anaachiliwa na mtihani wa mwisho kabisa unafanyika kuamua ni majina ya nani yatabaki daima yamerekodiwa katika hati-kunjo ya uhai. “Jitahidini wenyewe kisulubu” ili jina lenu liwe miongoni mwayo!—Luka 13:24; Ufunuo 20:5, NW.
-