Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Jiji Lenye Uzuri wa Kung’aa
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • na likiwa na utukufu wa Mungu.” (Ufunuo 21:9-11a, NW)

  • Jiji Lenye Uzuri wa Kung’aa
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • Ni jiji la kiroho zuri mno, lenye kufanyizwa kwa washika ukamilifu washikamanifu 144,000, lenye uzuri wa kung’aa katika utakatifu walo na likirudisha utukufu wenyewe wa Yehova. Huu ndio upeo mtukufu wa Ufunuo!

      3. Yohana anaelezaje uzuri wa Yerusalemu Jipya?

      3 Yerusalemu Jipya ni lenye kutia kimako kwa uzuri walo: “Mnururisho walo ulikuwa kama jiwe la thamani kubwa mno, kama jiwe la yaspa lenye kung’aa kwa uangavu sana kama fuwele.

  • Jiji Lenye Uzuri wa Kung’aa
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • Ufunuo 21:11b

  • Jiji Lenye Uzuri wa Kung’aa
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • Inafaa kama nini kwamba gezo la kwanza ambalo Yohana anarekodi ni la uangavu wenye kuwaka! Lenye kung’aa kama bibi-arusi mpya, Yerusalemu Jipya linakuwa mwenzi anayefaa kwa Kristo. Huwaka kikweli, kama inavyoufaa uumbaji wa “Baba wa mianga ya kimbingu.”—Yakobo 1:17, NW.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki