Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Jiji Lenye Uzuri wa Kung’aa
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • Lilikuwa lina ukuta mkubwa na ulioinuka juu sana na lilikuwa lina malango kumi na mawili, na kwenye malango malaika kumi na wawili, na majina yalikuwa yamechorwa ambayo ni yale ya makabila kumi na mawili ya wana wa Israeli.

  • Jiji Lenye Uzuri wa Kung’aa
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • Ufunuo 21:11b-

  • Jiji Lenye Uzuri wa Kung’aa
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • 4. Ni nini kinachoonyesha kwamba Yerusalemu Jipya si taifa la Israeli wa mnofu?

      4 Kwenye malango yalo 12, yamechorwa majina ya makabila 12 ya Israeli. Kwa hiyo, jiji hili la ufananisho ni lenye 144,000, waliotiwa muhuri “kutoka kila kabila la wana wa Israeli.” (Ufunuo 7:4-8, NW)

  • Jiji Lenye Uzuri wa Kung’aa
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • 5. Ni nini kinachomaanishwa na “ukuta mkubwa na ulioinuka juu sana” wa Yerusalemu Jipya na uhakika wa kwamba malaika wanawekwa kwenye kila mwingilio?

      5 Jiji hili la ufananisho lina ukuta mkubwa mno. Katika nyakati za kale, kuta za jiji zilijengwa kwa ajili ya usalama na ili kuzuia maadui. Ukuta wa Yerusalemu Jipya “mkubwa na ulioinuka juu sana” huonyesha kwamba li salama kiroho. Hakuna adui ya uadilifu, hakuna yeyote aliye mchafu na asiye haki, atakayeweza kupata kuingia. (Ufunuo 21:27) Lakini kwa wale wanaoruhusiwa waingie ndani, kuingia ndani ya jiji hili lenye uzuri ni kama kuingia Paradiso. (Ufunuo 2:7) Baada ya Adamu kutolewa nje, makerubi waliwekwa kwenye upande wa mbele wa Paradiso hiyo ya kwanza kabisa kuzuia nje wanadamu wachafu. (Mwanzo 3:24) Hali moja na hiyo, malaika wamewekwa kwenye kila mwingilio wa Yerusalemu jiji takatifu ili kuhakikisha usalama wa kiroho wa jiji. Kweli kweli, katika muda wote wa siku za mwisho, malaika wamekuwa wakilinda kundi la Wakristo wapakwa-mafuta, ambalo huwa Yerusalemu Jipya ili lisipatwe na uchafu wa Kibabuloni.—Mathayo 13:41.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki