-
Yehova Hupendezwa Sana na Utumishi Wako wa Nafsi YoteMnara wa Mlinzi—1997 | Oktoba 15
-
-
Yohana alipopokea ile njozi ya Yerusalemu Jipya katika Ufunuo (wapata mwaka wa 96 W.K.), aliona mawe 12 ya msingi na “majina kumi na mawili ya mitume kumi na wawili” yaliandikwa juu yake.a (Ufunuo 21:14) Yehova alithamini utumishi wa hao mitume wote, hata ingawa baadhi yao kwa wazi waliweza kufanya mengi zaidi kuliko wengine.
-
-
Yehova Hupendezwa Sana na Utumishi Wako wa Nafsi YoteMnara wa Mlinzi—1997 | Oktoba 15
-
-
a Kwa kuwa Mathiasi alichukua mahali pa Yudasi akiwa mtume, jina lake—wala si jina la Paulo—lingeonekana miongoni mwa yale mawe 12 ya msingi. Ijapokuwa Paulo alikuwa mtume, hakuwa mmoja wa wale 12.
-