Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Jiji Lenye Uzuri wa Kung’aa
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • na wao wataona uso wake, na jina lake litakuwa juu ya vipaji vya nyuso zao.” (Ufunuo 22:3, 4, NW)

  • Jiji Lenye Uzuri wa Kung’aa
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • 28. Ni kwa nini washiriki wa Yerusalemu Jipya wana jina la Mungu limeandikwa juu ya kipaji cha uso wao, na ni taraja gani lenye kusisimua lililo mbele yao?

      28 Kama Yohana mwenyewe, washiriki wote wa wakati ujao wa hilo jiji la kimbingu ni “watumwa” wa Mungu. Wakiwa hivyo, wana jina la Mungu likiwa limeandikwa kwa kuonekana wazi juu ya kipaji cha uso wao, kumtambulisha yeye kuwa Mwenye wao. (Ufunuo 1:1; 3:12) Wao watalihesabu kuwa pendeleo lisilokadirika kumtolea utumishi mtakatifu wakiwa sehemu ya Yerusalemu Jipya. Yesu alipokuwa duniani, aliwapa ahadi yenye kusisimua hao waliotazamiwa kuwa watawala, akisema: “Wenye furaha ni wale walio safi katika moyo, kwa kuwa wao wataona Mungu.” (Mathayo 5:8, NW) Jinsi hawa watumwa watakuwa wenye furaha kumwona na kumwabudu Yehova kihalisi na kinaganaga!

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki