-
Ufunuo na WeweUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
“Yeye aambia mimi pia: ‘Usitie kifungo maneno ya unabii wa hati-kunjo hii, kwa maana wakati uliowekwa u karibu.
-
-
Ufunuo na WeweUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
4 Baki la wapakwa-mafuta leo limetii maneno ya malaika. Wao hawakuyatia kifungo maneno ya unabii. Kwani, hata toleo la kwanza hasa la Zion’s Watch Tower and Herald of Christ’s Presence (Julai 1879) lilitoa maelezo juu ya mistari kadhaa ya Ufunuo. Kama tulivyoona katika sura ya kufungua, Mashahidi wa Yehova kwa muda wa miaka iliyopita wametangaza vitabu vingine vyenye kutoa nuru juu ya Ufunuo. Sasa tunavuta tena uangalifu wa wote wapendao ukweli kwenye unabii wa Ufunuo wenye kujaa nguvu na utimizo wao.
-