-
Ufunuo na WeweUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
Nje kuna mbwa na wale ambao huzoea uwasiliano na roho na waasherati na wauaji kimakusudi na waabudu sanamu na yeyote ambaye anapenda na kuendeleza uwongo.”—Ufunuo 22:12-15, NW.
-
-
Ufunuo na WeweUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
Viongozi wa kidini wa Jumuiya ya Wakristo wametenda kama “mbwa wasio na usemi,” wakiachilia maovu ambayo Yehova anaeleza hapa. (Isaya 56:10-12; ona pia Kumbukumbu 23:18, New World Translation Reference Bible, kielezi cha chini.) Kwa hakika, wao ‘wamependa na kuendeleza’ mafundisho na itikadi za uwongo na wamepuuza kabisa shauri la Yesu kwa makundi saba. Kwa sababu hiyo, wao hawana hisa katika Yerusalemu Jipya.
-