Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yesu Aja na Kitia-Moyo
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • na kutoka kwa Yesu Kristo.”—Ufunuo 1:4, 5a, NW.

  • Yesu Aja na Kitia-Moyo
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • Aliye na sehemu pia ni “Yesu Kristo,” ambaye kwa habari zake Yohana aliandika baadaye hivi: “Yeye alijaa fadhili zisizostahiliwa na ukweli.” (Yohana 1:14, NW)

  • Yesu Aja na Kitia-Moyo
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • “Shahidi Mwaminifu”

      4. Yohana anaendelea kumwelezeaje Yesu Kristo, na ni kwa sababu gani semi hizo za maelezeo zinafaa?

      4 Kufuata Yehova, Yesu ndiye mtu mtukufu zaidi sana katika ulimwengu wote mzima, kama Yohana anavyotambua, akimsimulia kuwa “‘Shahidi Mwaminifu,’ ‘mzaliwa wa kwanza kutoka kwa wafu,’ na ‘Mtawala wa wafalme wa dunia.’” (Ufunuo 1:5b, NW) Kama vile mwezi katika mbingu, yeye amesimamishwa imara kuwa Shahidi aliye mkubwa zaidi sana kwa Uungu wa Yehova. (Zaburi 89:37) Baada ya yeye kushika ukamilifu mpaka kifo cha dhabihu, akapata kuwa wa kwanza miongoni mwa aina ya binadamu kuinuliwa kwenye uhai wa kiroho usioweza kufa. (Wakolosai 1:18) Sasa akiwa katika kuwapo kwa Yehova, amekwezwa kwenye hali ya juu, juu sana ya wafalme wote wa kidunia, akiwa amevishwa “mamlaka yote . . . katika mbingu na juu ya dunia.” (Mathayo 28:18, NW; Zaburi 89:27; 1 Timotheo 6:15) Katika 1914 yeye aliwekwa awe Mfalme atawale miongoni mwa mataifa ya kidunia.—Zaburi 2:6-9.

      5. (a) Yohana anaendelea kuonyeshaje uthamini kwa Bwana Yesu Kristo? (b) Ni nani wanaonufaika na zawadi ya Yesu ya uhai wake mkamilifu wa kibinadamu, na Wakristo wapakwa-mafuta wameshirikije baraka ya pekee?

      5 Yohana anaendelea kuonyesha uthamini kwa Bwana Yesu Kristo katika maneno haya yenye uchangamshi: “Kwake yeye ambaye hupenda sisi na ambaye alifungua sisi kutoka madhambi yetu kwa njia ya damu yake mwenyewe

  • Yesu Aja na Kitia-Moyo
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • Yesu alitoa uhai wake mkamilifu wa kibinadamu ili wale wa ulimwengu wa aina ya binadamu wanaozoea imani katika yeye waweze kurudishwa kwenye uhai mkamilifu. Wewe, msomaji mpenzi, waweza kutiwa ndani ya hili! (Yohana 3:16)

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki