-
Yesu Aja na Kitia-MoyoUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
naye alifanya sisi kuwa ufalme, makuhani kwa Mungu na Baba yake—ndiyo, kwake yeye kuwe utukufu na uweza milele. Ameni.” (Ufunuo 1:5c, 6, NW)
-
-
Yesu Aja na Kitia-MoyoUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
Lakini kifo cha dhabihu cha Yesu kilifungulia njia baraka ya pekee kwa ajili ya wale wanaokuwa Wakristo wapakwa-mafuta kama Yohana. Hawa wametangazwa kuwa waadilifu kwa msingi wa dhabihu ya ukombozi ya Yesu. Wakikataa katakata matazamio yote ya uhai wa kidunia, kama alivyofanya Yesu, hao wa lile kundi dogo wamezaliwa kwa roho ya Mungu, wakiwa na taraja la kufufuliwa wakatumikie wakiwa wafalme na makuhani pamoja na Yesu Kristo katika Ufalme wake. (Luka 12:32; Warumi 8:18; 1 Petro 2:5; Ufunuo 20:6) Lo! ni pendeleo tukufu kama nini! Si ajabu Yohana alipaaza sauti kwa uthabiti hivyo kwamba utukufu na uweza una Yesu!
-