-
Kuponda Kichwa cha NyokaUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
“Na mimi nikaona malaika mmoja akija chini kutoka katika mbingu mwenye ufunguo wa abiso na mnyororo mkubwa katika mkono wake.
-
-
Kuponda Kichwa cha NyokaUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
4. Ni nani aliye malaika mwenye ufunguo wa abiso, na sisi twajuaje?
4 Malaika huyu ni nani? Ni lazima yeye awe na nguvu nyingi mno kuweza kumwondolea mbali adui mkuu wa Yehova. Yeye ana “ufunguo wa abiso na mnyororo mkubwa.” Je! hiyo haitukumbushi njozi ya mapema zaidi? Ee, ndiyo, yule mfalme juu ya nzige anaitwa “malaika wa abiso”! (Ufunuo 9:11, NW) Kwa hiyo hapa sisi tunaona Mteteaji Mkuu wa Yehova, Yesu Kristo aliyetukuzwa, akitenda.
-