-
Je, Wajua?Mnara wa Mlinzi—2011 | Mei 1
-
-
Kwa mfano, wataalamu wa vitu vya kale wamepata alama zinazoaminika kuwa zilitokana na mihuri ya kibinafsi ya wafalme wawili wa Yudea. Mhuri mmoja uliotumiwa ulikuwa na maneno haya: “Ni mali ya Ahazi [mwana wa] Yehotam [Yothamu], Mfalme wa Yuda.” Na mwingine ulisema hivi: “Ni mali ya Hezekia [mwana wa] Ahazi, Mfalme wa Yuda.” (2 Wafalme 16:1, 20) Ahazi na Hezekia walitawala katika karne ya nane K.W.K.
-
-
Je, Wajua?Mnara wa Mlinzi—2011 | Mei 1
-
-
[Picha katika ukurasa wa 15]
Mihuri ya udongo yenye jina la Hezekia na Ahazi (mbele) na yaelekea jina la Baruku (nyuma)
[Hisani]
Back: Courtesy of Israel Museum, Jerusalem
Front: www.BibleLandPictures.com/Alamy
-