Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Albania
    2010 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • Miaka kadhaa baadaye, Kulla Gjidhari alikumbuka jinsi alivyoadhimisha Ukumbusho: “Asubuhi nilitengeneza mkate na kutayarisha divai. Jioni ya siku hiyo nilifunga mapazia na kuchukua Biblia niliyokuwa nimeificha nyuma ya choo. Nilisoma Mathayo sura ya 26 kuhusu jinsi Yesu alivyoanzisha Ukumbusho. Nilisali, nikauinua mkate, kisha nikaurudisha chini. Halafu nikasoma mistari zaidi ya Mathayo, nikasali tena, nikainua divai, kisha nikairudisha chini. Baada ya hayo, nikaimba wimbo. Kimwili, nilikuwa peke yangu, lakini nilikuwa na hakika kwamba ninaungana na ndugu zangu ulimwenguni pote!”

      Kulla hakuwa na watu wengi wa ukoo. Miaka kadhaa awali Spiro Karajani alimchukua na kumlea, naye aliishi pamoja na Penellopi binti ya Spiro huko Tiranë. Spiro alikufa mwaka wa 1950 hivi.

  • Albania
    2010 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • [Picha katika ukurasa wa 158]

      Licha ya kuwa peke yake, Kulla Gjidhari aliadhimisha Ukumbusho

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki