-
Albania2010 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
Karibu wakati huohuo, Waalbania wengi, kutia ndani Thanas (Nasho) Idrizi na Costa Mitchell, walihamia New England, Marekani. Walipojifunza kweli, walibatizwa bila kukawia. Ndugu Idrizi alirudi Gjirokastër, Albania, mwaka wa 1922, akiwa Mwalbania wa kwanza kurudi nyumbani na kweli za Biblia. Yehova alibariki roho yake ya kujidhabihu, nao watu wakaanza kuikubali kweli.
-
-
Albania2010 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
[Picha katika ukurasa wa 128]
Baada ya kujifunza kweli huko New England, Marekani, Thanas Idrizi alipeleka habari njema Gjirokastër, Albania
-