-
Neno la Yehova Laenea Katika “Nchi ya Tai”Mnara wa Mlinzi—2005 | Oktoba 15
-
-
Mwanzo Mpya Unaochochea
Katika miaka ya 1920, wahamiaji wachache wa Kialbania walioenda Marekani na ambao walishirikiana na Wanafunzi wa Biblia wa Kimataifa, kama walivyoitwa Mashahidi wa Yehova, walirudi Albania kuwaeleza wengine yale waliyojifunza. Nasho Idrizi alikuwa miongoni mwao. Baadhi ya watu waliitikia vizuri.
-
-
Neno la Yehova Laenea Katika “Nchi ya Tai”Mnara wa Mlinzi—2005 | Oktoba 15
-
-
Siku moja, katikati ya mji wa Vlorë, Nasho Idrizi alichezesha santuri ya hotuba za J. F. Rutherford. Watu waliacha biashara zao wakaja kusikiliza, huku Ndugu Idrizi akitafsiri katika Kialbania.
-