-
Albania2010 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
Kwa kuwa barua zilikuwa zikichujwa, tengenezo halingeweza kutuma maagizo hayo kupitia barua. Badala yake, John aliwasilisha habari hizo kidogo-kidogo kwa akina ndugu akitumia lugha ya mafumbo kwa kurejelea kurasa fulani-fulani katika vitabu.
-
-
Albania2010 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
Anakumbuka: “John Marks alitutembelea miaka ya 1960. Hatimaye nilipokutana na mke wake, Helen, mwaka wa 1986, ni kana kwamba tulikuwa tumejuana kwa muda mrefu. Luçi nami tulikuwa tukiwatumia akina Marks ujumbe kisiri, nao wakawa wakiwatumia ndugu huko Brooklyn.”
-