-
Albania2010 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
Helen alizuru tena nchi hiyo katika majira ya kiangazi. Alitumia saa nyingi akiwasilisha habari na maagizo aliyokuwa amekabidhiwa.
-
-
Albania2010 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
Maofisa wa Sigurimi walipata habari kwamba Helen yuko nchini nao wakaamua kumtembelea. Badala ya kumsumbua, walimwambia kwamba wanataka zawadi kutoka Marekani. Kwa muda mfupi tu walikuwa wamebadilika!
-
-
Albania2010 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
Helen Marks alizuru Albania mara ya mwisho mnamo Agosti 1991, hata hivyo, wakati huo hali zilikuwa zimebadilika. Mwezi mmoja tu awali, serikali ilikuwa imeanzisha wizara ya dini, na kuhalalisha tena utendaji wa kidini baada ya miaka 24.
-