-
Albania2010 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
Kabla tu ya kufanya hivyo, Leonidha Pope, mtu wa familia yao, akamtembelea. Bila kujua nia ya Sotir, Leonidha akamwambia kwamba Yesu aliwaponya wagonjwa na kwamba dunia itakuwa paradiso. Pia, akampa Sotir Biblia yenye Maandiko ya Kigiriki, ambayo Sotir alianza kuisoma mara moja.
-
-
Albania2010 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
Sotir alipoachiliwa, aliwasiliana na Leonidha, ambaye alimpeleka kwa Spiro Karajani, daktari aliyekuwa amejifunza kweli miaka kadhaa awali.
-
-
Albania2010 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
[Picha katika ukurasa wa 145]
Leonidha Pope
-