-
Albania2010 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
Kisha, mnamo Machi, John akafanya Ukumbusho huko Tiranë nyumbani kwa Leonidha Pope, kukiwa na hudhurio la watu 37.
-
-
Albania2010 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
Baada ya ndugu katika makao makuu kusoma ripoti ya John kuhusu ziara yake nchini Albania, walimweka Leonidha Pope, Sotir Papa, na Luçi Xheka kusimamia Kutaniko la Tiranë na vilevile kazi nchini Albania.
-