Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Neno la Yehova Laenea Katika “Nchi ya Tai”
    Mnara wa Mlinzi—2005 | Oktoba 15
    • Baada ya kipindi cha kwanza cha kujifunza lugha, mapainia walianza kuhubiri huko Berat, Durres, Gjirokastër, Shkodër, Tiranë, na Vlorë. Punde si punde, makutaniko yalianzishwa katika majiji hayo.

  • Neno la Yehova Laenea Katika “Nchi ya Tai”
    Mnara wa Mlinzi—2005 | Oktoba 15
    • Kutaniko lilianzishwa tena huko Vlorë mnamo 1995. Leo, makutaniko matatu yenye kusitawi yanahubiri kwa bidii katika mji huo wenye bandari.

  • Neno la Yehova Laenea Katika “Nchi ya Tai”
    Mnara wa Mlinzi—2005 | Oktoba 15
    • Zaidi ya vikundi na makutaniko 90 yanaendelea “kufanywa imara katika imani na kuongezeka hesabu siku baada ya siku” nchini kote. (Matendo 16:5)

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki