Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yehova Hakutuacha Kamwe
    Mnara wa Mlinzi—1996 | Januari 1
    • Kwa kuongezea, wenye mamlaka walieneza uvumi kwamba Spiro Vruho, aliyekuwa mzee Mkristo mwenye kustahiwa sana katika Albania, alikuwa amejiua. “Mwaona,” wao wakasema, “hata Vruho amekata tamaa.” Baadaye ikawa wazi kwamba Ndugu Vruho alikuwa kwa kweli ameuawa kimakusudi.

  • Yehova Hakutuacha Kamwe
    Mnara wa Mlinzi—1996 | Januari 1
    • Wakati wa miongo ya kupigwa marufuku kwa utendaji wetu, Mashahidi wengi walitendewa kikatili, na wengine wakauawa. Mtu mmoja aliwaambia Mashahidi wengine barabarani hivi: “Wakati wa Wakomunisti, sisi sote tulikuwa tumemwacha Mungu. Ni Mashahidi wa Yehova pekee walioendelea kuwa waaminifu kwake yajapokuwa majaribu na magumu.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki