-
Neno la Yehova Laenea Katika “Nchi ya Tai”Mnara wa Mlinzi—2005 | Oktoba 15
-
-
Hatua kwa hatua, serikali ikawa isiyovumilia dini. Kwa sababu ya msimamo wao wa Kikristo wa kutokuwamo, Mashahidi wa Yehova huko Albania walikataa kuchukua silaha na kujihusisha katika siasa. (Isaya 2:2-4; Yohana 15:17-19) Wengi walifungwa, bila chakula au mahitaji ya msingi ya maisha. Katika visa vingi, dada zao wa kiroho ambao hawakufungwa waliwafulia nguo na kuwapikia chakula.
-
-
Neno la Yehova Laenea Katika “Nchi ya Tai”Mnara wa Mlinzi—2005 | Oktoba 15
-
-
Hata hivyo, punde tu, Luçi Xheka, Mihal Sveci, Leonidha Pope, na ndugu wengine wenye madaraka walipelekwa kwenye kambi za kazi za kulazimishwa.
-