Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Albania
    2010 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • ALBANIA YAZIDI KUJITENGA

      Kipindi kipya cha kujitenga kilianza mwaka wa 1978 Albania ilipokata uhusiano na China. Katiba mpya ilikusudiwa kufanya Albania kuwa nchi inayojitegemea kwa kila jambo, ikiwa na sheria kali zinazoongoza kila sehemu ya maisha, kutia ndani maonyesho, dansi, vitabu, na sanaa. Muziki ulioaminika kuwa wa uchochezi ulipigwa marufuku. Waandishi walioidhinishwa tu ndio walioruhusiwa kuwa na taipureta. Yeyote aliyepatikana akifungulia vituo vya televisheni vya nchi nyingine alihojiwa na Sigurimi.

  • Albania
    2010 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • Mwaka wa 1985, dikteta aliyekuwa ametawala kwa muda mrefu, Enver Hoxha, wa Albania akafa. Kisha kukawa na mabadiliko mengi ya kiserikali na kijamii.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki