-
Albania2010 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
Katika miaka ya 1930, Italia ilianza kutawala Albania, naye Mfalme Zog na familia yake wakaikimbia nchi hiyo mwaka wa 1939.
-
-
Albania2010 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
Mwaka wa 1940/1941, majeshi ya Ugiriki yalivamia upande wa kusini wa Albania na kuwalazimisha watu wajiunge nao.
-
-
Albania2010 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
WATAWALA WAPYA—MAJARIBU YALEYALE
Katikati ya mapigano na machafuko ya vita, pole kwa pole Chama cha Kikomunisti cha Albania kilikuwa kikipata umaarufu, licha ya jitihada za serikali ya Kifashisti.
-
-
Albania2010 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
Septemba 1943, Wafashisti waliondoka nayo majeshi ya Ujerumani yakashambulia na kuua watu 84 mjini Tiranë katika usiku mmoja.
-
-
Albania2010 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
Mwaka wa 1944, majeshi ya Ujerumani yaliondoka Albania, na majeshi ya Kikomunisti yakaanzisha serikali ya mpito.
-
-
Albania2010 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
Serikali ya Kikomunisti ilitoza ushuru wa juu, ikataifisha mali ya watu, viwanda, biashara, maduka, na majumba ya sinema. Watu hawakuwa na ruhusa ya kununua, kuuza, au kukodi mashamba, na mazao yote yalikuwa ya serikali. Januari 11, 1946, nchi ya Albania ilijitangaza kuwa Jamhuri ya Watu wa Albania. Chama cha Kikomunisti kilishinda uchaguzi na kuanza kutawala, Enver Hoxha akiwa mkuu wa nchi.
Shule nyingi zaidi zilifunguliwa, nao watoto wakaanza kufundishwa kusoma na kuandika, ingawa serikali haikutaka mtu yeyote asome kitabu chochote kisichounga mkono Ukomunisti.
-