-
Albania2010 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
Trazira iliathiri jinsi gani kazi ya kuhubiri? Badala ya kuzuia ukuzi, hatari na wasiwasi ziliwafanya watu wengi watambue uhitaji wao wa kiroho. Kwa miezi 15 tu, wahubiri wapya 500 walianza kushiriki katika kazi ya kuhubiri, nayo idadi ya wahubiri ikapita 1,500.
-
-
Albania2010 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
Kufikia mwisho wa mwaka wa utumishi wa 1999, kulikuwa na wahubiri 1,805 Albania na 40 Kosovo.
-
-
Albania2010 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
Wakati huo kulikuwa na wahubiri 2,200 nchini Albania nayo familia ya Betheli ilikuwa na watu 40.
-
-
Albania2010 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
Septemba 2003, ujenzi wa ofisi mpya ya tawi ulipoanza, Albania ilikuwa na wahubiri 3,122.
-