-
Neno la Yehova Laenea Katika “Nchi ya Tai”Mnara wa Mlinzi—2005 | Oktoba 15
-
-
Thanas Duli (Athan Doulis) alikuwa miongoni mwa wale waliojifunza kumhusu Yehova huko Albania katika miaka hiyo. Alisema hivi: “Mnamo 1925 kulikuwa na makutaniko matatu yaliyosimamiwa vizuri huko Albania. Kulikuwa pia na Wanafunzi wa Biblia walioishi katika maeneo ya mbali na watu waliopendezwa waliokuwa katika sehemu mbalimbali nchini. Kwa kuonyeshana upendo miongoni mwao . . . walikuwa tofauti na majirani wao!”a
-
-
Neno la Yehova Laenea Katika “Nchi ya Tai”Mnara wa Mlinzi—2005 | Oktoba 15
-
-
a Kuhusu simulizi la maisha la Thanas Duli, ona gazeti Mnara wa Mlinzi la Desemba 1, 1968 (Kiingereza).
-