Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Twatambuliwa kwa Mwenendo Wetu
    Mashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
    • Muumba ajua jinsi tulivyoumbwa, na Neno lake huruhusu matumizi ya kiasi ya vinywaji vyenye kileo. (Zab. 104:15; 1 Tim. 5:23) Lakini Biblia huonya pia dhidi ya ‘kunywa sana,’ na hushutumu vikali ulevi.—Mit. 23:20, 21, 29, 30; 1 Kor. 6:9, 10; Efe. 5:18.

  • Twatambuliwa kwa Mwenendo Wetu
    Mashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
    • Matumizi ya vinywaji vyenye kileo au kujiepusha navyo huonwa kuwa jambo la kibinafsi miongoni mwa Mashahidi wa Yehova. Lakini wanashikamana na takwa la Kimaandiko la kwamba waangalizi lazima wawe “wenye kiasi katika mazoea.” Usemi huo unatafsiriwa kutokana na neno la Kigiriki ne·phaʹli·on, ambalo humaanisha, kihalisi, ‘-enye kulevuka, -enye kiasi; kujiepusha na divai, ama kabisa ama angalau kwa matumizi yayo yasiyo ya kiasi.’ Watumishi wa huduma, pia lazima wawe “si wenye kujitoa kwa kunywa divai nyingi.” (1 Tim. 3:2, 3, 8, NW) Hivyo, wanywao kwa wingi sana hawastahili mapendeleo ya pekee ya utumishi. Uhakika wa kwamba wale wachukuao uongozi miongoni mwa Mashahidi wa Yehova huweka kielelezo chema huwapa uhuru wa kusema katika kusaidia wengine ambao huenda wakaelekea kutegemea vinywaji vyenye kileo ili kuuweza mkazo au huenda, kwa kweli, wakahitaji kujiepusha nacho kabisa ili waendelee kukaa wamelevuka.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki