-
Mkumbuke Muumba Wako Mtukufu!Mnara wa Mlinzi—1999 | Novemba 15
-
-
na mlozi utachanua maua;
-
-
Mkumbuke Muumba Wako Mtukufu!Mnara wa Mlinzi—1999 | Novemba 15
-
-
15. ‘Mlozi huchanuaje maua,’ na panzi ‘hujikokotaje’?
15 Kwa habari ya mzee, inaonekana ‘mlozi unachanua maua’ kwa njia ya kwamba mvi hutokea, kisha nywele huwa nyeupe pepepe. Mvi huanguka kama maua meupe ya mlozi.
-