-
Soko Lililokuwa Kitovu cha Athene la KaleMnara wa Mlinzi—1998 | Julai 15
-
-
Bila shaka, hilo soko lilihitaji mungu-mfadhili wake lenyewe. Mungu huyo alikuwa Zeus Agoraios, aliyedhaniwa kutokeza ufasaha wa kusema. Madhabahu iliyopambwa ambayo ilichongwa kutoka kwa marumaru yenye thamani, ilikuwa imewekwa wakfu kwake. (Linganisha Matendo 14:11, 12.) Kando ya madhabahu ya Mama wa Miungu iliyokuwa karibu, palikuwa pamepangwa nguzo za ukumbusho zenye kutokeza za watu mashujaa.
-
-
Soko Lililokuwa Kitovu cha Athene la KaleMnara wa Mlinzi—1998 | Julai 15
-
-
Ng’ambo ile nyingine tu ya barabara, twaona magofu ya madhabahu ya ile iitwayo Miungu Kumi na Miwili.
-