Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Umaridadi Uliofichwa Mapangoni
    Amkeni!—2004 | Oktoba 22
    • Kiumbe mwingine wa ajabu aliyepatikana katika eneo hilo ni salamanda kipofu anayeitwa olm. Katika mwaka wa 1689, Valvasor alimfafanua kiumbe huyo kuwa ‘mtoto wa dragoni.’ Uchunguzi mwingi wa kisayansi umefanywa kuhusu kiumbe huyo mdogo.

  • Umaridadi Uliofichwa Mapangoni
    Amkeni!—2004 | Oktoba 22
    • [Sanduku/Picha katika ukurasa wa 24]

      “Samaki Mwanadamu”

      Kiumbe anayeitwa proteus anguinus huitwa samaki mwanadamu na wenyeji wa eneo hili kwa sababu ya ngozi yake isiyo ya kawaida, ambayo wengine huona inafanana na ngozi ya mwanadamu. Kiumbe huyo aliye na uti wa mgongo hupatikana tu katika maji ya chini ya ardhi ya eneo la kaskazini-mashariki la Italia, Slovenia, na maeneo ya kusini. Kiumbe huyo ana ngozi isiyo na rangi na macho yasiyoweza kuona, lakini hilo halimwathiri kwa njia yoyote kwa sababu anaishi katika giza totoro kuanzia yai linapotagwa hadi anapokufa. Kwa kushangaza, inasemekana kwamba wengine wameishi kwa miaka 100, na samaki hao wanaweza kuishi bila kula kwa miaka kadhaa.

      [Hisani]

      Arne Hodalic/www.ipak.org

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki