-
Kutia Muhuri Israeli wa MunguUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
“Baada ya hili mimi niliona malaika wanne wakisimama juu ya kona nne za dunia, wakishika sana pepo nne za dunia, kwamba upepo wowote usipate kupuliza juu ya dunia au juu ya bahari au juu ya mti wowote.” (Ufunuo 7:1, NW)
-
-
Kutia Muhuri Israeli wa MunguUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
4. (a) Malaika wanne wanawakilisha nini? (b) Tokeo linakuwa nini juu ya tengenezo la kidunia la Shetani wakati pepo nne zinapoachiliwa?
4 Hapana shaka, hawa malaika wanne wanawakilisha vikundi vinne vya kimalaika, ambavyo Yehova anatumia kuzuia utekelezo wa hukumu yake mpaka wakati uliowekwa.
-
-
Kutia Muhuri Israeli wa MunguUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
[Picha ya ukurasa mzima katika ukurasa wa 114]
-