Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kasirani ya Mungu Yaletwa Kwenye Tamati
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • “Na mimi nikaona semi chafu tatu zilizovuviwa ambazo zilionekana kama vyura zinatoka katika kinywa cha drakoni na katika kinywa cha hayawani-mwitu na katika kinywa cha nabii bandia.

  • Kasirani ya Mungu Yaletwa Kwenye Tamati
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • Ufunuo 16:13,

  • Kasirani ya Mungu Yaletwa Kwenye Tamati
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • Ingawa hivyo, huyu “nabii bandia” ni nini? Huyu ni mja-leo kwa jina tu. Wakati uliopita, sisi tulionyeshwa hayawani-mwitu wa pembe mbili mithili ya mwana-kondoo ambaye alifanya ishara mbele ya hayawani-mwitu mwenye vichwa saba. Kiumbe huyu mwenye kudanganya alitenda kama nabii kwa ajili ya huyo hayawani-mwitu. Aliendeleza ibada ya hayawani-mwitu, hata akasababisha mfano wake ujengwe. (Ufunuo 13:11-14, NW) Huyu hayawani-mwitu mwenye pembe mbili mithili ya mwana-kondoo lazima awe ndiye yule yule “nabii bandia,” anayetajwa hapa. Kuthibitisha hili, sisi tunasoma baadaye kwamba “nabii bandia” kama hayawani-mwitu wa ufananisho mwenye pembe mbili, “alifanya mbele [ya hayawani-mwitu mwenye vichwa saba] ishara ambazo kwa hizo yeye aliongoza vibaya wale ambao walipokea alama ya hayawani-mwitu na wale ambao hutoa ibada kwa mfano wake.”—Ufunuo 19:20, NW.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki