-
Kwa Nini Ushirikiano Ni Muhimu?Amkeni!—2005 | Septemba 8
-
-
Kuna ushirikiano kama huo kati ya wanyama, hasa wale wanaocheua kama vile ng’ombe, mbawala, na kondoo. Sehemu ya kwanza ya tumbo lao lililogawanywa katika sehemu nyingi, ina mfumo halisi wa ikolojia wa bakteria, kuvu, na protozoa. Kupitia uchachushaji, viumbe hao wadogo huvunja-vunja selulosi, ambayo ni wanga wenye nyuzinyuzi ulio katika mimea, na kutokeza virutubisho mbalimbali.
-
-
Kwa Nini Ushirikiano Ni Muhimu?Amkeni!—2005 | Septemba 8
-
-
[Picha katika ukurasa wa 5]
Sehemu ya kwanza ya tumbo la ng’ombe ina mfumo halisi wa ikolojia wa bakteria, kuvu, na protozoa (picha ndogo iliyoongezwa ukubwa)
[Hisani]
Inset: Melvin Yokoyama and Mario Cobos, Michigan State University
-