-
Wanyama Wasiojulikana wa VietnamAmkeni!—2001 | Oktoba 22
-
-
Katika mwaka wa 1996, wanasayansi kwenye Uwanda wa Tainguen huko Vietnam, waligundua mnyama mdogo mla-nyama anayependa kutembea usiku, aitwaye Ngawa wa Tainguen. Ana uzani wa kati ya kilogramu 3 hadi 7.5 naye huishi katika misitu ya kitropiki yenye unyevunyevu.
-
-
Wanyama Wasiojulikana wa VietnamAmkeni!—2001 | Oktoba 22
-
-
Ngawa wa Tainguen
-