-
Watoto na Intaneti—Mambo Ambayo Wazazi Wanapaswa KujuaAmkeni!—2008 | Oktoba
-
-
Pia kuna tovuti ambazo zinaunga mkono “kujinyima chakula.”a
-
-
Watoto na Intaneti—Mambo Ambayo Wazazi Wanapaswa KujuaAmkeni!—2008 | Oktoba
-
-
a Tovuti na mashirika mengi yanayounga mkono kujinyima chakula yanadai kwamba hayafanyi hivyo. Hata hivyo, baadhi yao yanaonyesha kwamba kujinyima chakula si ugonjwa bali ni uamuzi wa mtu. Tovuti kama hizo zina habari kuhusu jinsi ya kuficha uzito wa mwili na jinsi ya kuwaficha wazazi wasijue kwamba kijana hali vizuri.
-