Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kwa Nini Unaweza Kuamini Vitabu vya Injili vya Biblia?
    Mnara wa Mlinzi—2010 | Machi 1
    • Kwa mfano, kipindi kimoja katika stesheni ya BBC kinachoitwa Mafumbo ya Biblia, kilichozungumza kuhusu “Maria Magdalene wa Kweli,” kilisema kwamba maandishi ya Kiapokrifa yanafundisha kwamba Maria Magdalene alikuwa “mwalimu na kiongozi wa kiroho wa wanafunzi wengine. Yeye si mwanafunzi tu; yeye ni mtume aliyetumwa kwa mitume.” Akitoa maelezo kuhusu daraka hilo la Maria Magdalene, Juan Arias, anaandika hivi katika gazeti O Estado de S. Paulo la Brazili: “Leo tuna kila sababu ya kuamini kwamba kikundi cha kwanza cha Kikristo, kilichoanzishwa na Yesu, kilisimamiwa kabisa na ‘wanawake,’ kwa kuwa makanisa ya kwanza yalikuwa katika nyumba za wanawake, ambamo walitumika wakiwa makasisi na maaskofu.”

  • Kwa Nini Unaweza Kuamini Vitabu vya Injili vya Biblia?
    Mnara wa Mlinzi—2010 | Machi 1
    • b Tatizo lingine kuhusu maandishi ya Kiapokrifa ni kwamba nakala zilizobaki ni chache sana. Injili ya Maria Magdalene iliyotajwa mwanzoni mwa habari hii inapatikana katika vipande viwili tu vidogo na kipande kikubwa zaidi hakina nusu ya maandishi yaliyoandikwa kwanza. Kwa kuongezea, kuna tofauti kubwa katika hati zilizopo.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki