-
Kushikilia kwa Imara Jina la YesuUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
Inahitajiwa kabisa “kutia moyo kwa fundisho ambalo ni lenye afya na kukaripia pia wale wanaopinganisha maneno.”—Tito 1:9, NW.
14. (a) Tangu siku za mapema, kundi la Kikristo limelazimika kushindana na akina nani, na mtume Paulo aliwaelezaje? (b) Ni maneno gani ya Yesu yanayopasa kutiiwa na yeyote ambaye huenda ikawa ameelekea kufuata kikundi chenye kujitenga mbali?
14 Tangu siku za mapema, kundi la Kikristo limekuwa halina budi kushindana na waasi-imani wenye kiburi, ambao kwa usemi laini, wenye kudanganya “husababisha migawanyiko na sababu za kukwaza kinyume cha fundisho” lililoandaliwa kupitia mfereji wa Yehova. (Waroma 16:17, 18, NW) Mtume Paulo alionya juu ya tisho hili karibu katika barua zake zote.a
-