Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Wale Walioitwa Wawe Wanafunzi wa Yesu
    Jifunze Kutoka kwa Mwalimu Mkuu
    • Baada ya Yesu kuhubiri kwa mwaka mmoja na nusu hivi, alichagua wanafunzi 12 wawe mitume. Mitume walikuwa wanaume aliowachagua ili awatume wakafanye kazi ya pekee. Je, unajua majina yao?— Hebu tuone kama tunaweza kujifunza majina yao. Waangalie katika picha hizi, na uone kama unaweza kutaja majina yao. Kisha jaribu kukumbuka majina yao bila kuyasoma.

      Hatimaye mmoja wa hao mitume 12 akawa mbaya. Huyo ni Yuda Iskariote. Baadaye, mwanafunzi mwingine akachaguliwa awe mtume. Unajua jina lake?— Yeye ni Mathia. Baadaye Paulo na Barnaba pia wakawa mitume, lakini hawakuwa miongoni mwa wale mitume 12.—Matendo 1:23-26; 14:14.

  • Wale Walioitwa Wawe Wanafunzi wa Yesu
    Jifunze Kutoka kwa Mwalimu Mkuu
    • [Picha katika ukurasa wa 75]

      Petro

      Andrea

      Yakobo (nduguye Yohana)

      Yohana

      Filipo

      Nathanaeli

      Mathayo

      Tomasi

      Yakobo (mwana wa Alfayo)

      Simoni

      Yuda (aliyeitwa pia Thadayo)

      Yuda Iskariote

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki