-
Kupambana Sana kwa Ajili ya Habari Njema Huko ThesalonikeMnara wa Mlinzi—2012 | Juni 1
-
-
Jiji la Thesalonike lilitimiza sehemu muhimu katika historia ya Wakristo wa karne ya kwanza, hasa kuhusiana na huduma ya Paulo, mtume Mkristo kwa mataifa.—MATENDO 9:15; WAROMA 11:13.
-
-
Kupambana Sana kwa Ajili ya Habari Njema Huko ThesalonikeMnara wa Mlinzi—2012 | Juni 1
-
-
Kwa kawaida Paulo alipofika katika jiji, alikuwa akianza kuzungumza na Wayahudi kwa sababu walifahamu Maandiko na hivyo angeweza kuyatumia katika mazungumzo yake na kuwasaidia kuelewa habari njema. Msomi fulani anadokeza kwamba huenda Paulo alifanya hivyo kwa kuwa aliwajali sana watu wa nchi yake au alitaka kuwatumia Wayahudi na watu waliomwogopa Mungu ili kuanza kazi yake ya kuwafikia Watu wa Mataifa.—Matendo 17:2-4.
-