Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mkumbuke Muumba Wako Mtukufu!
    Mnara wa Mlinzi—1999 | Novemba 15
    • na pilipili hoho itapasuka;

  • Mkumbuke Muumba Wako Mtukufu!
    Mnara wa Mlinzi—1999 | Novemba 15
    • 16. (a) Ni nini linalodokezwa na ‘kupasuka kwa pilipili hoho’? (b) ‘Nyumba ya milele’ ya mwanadamu ni nini, na ni ishara zipi za kifo kinachokaribia ambazo hudhihirika?

      16 Mzee hana hamu tena ya chakula, hata kama chakula kilicho mbele yake ni kitamu kama pilipili hoho. Pilipili hoho zimetumiwa kwa muda mrefu kuamsha hamu ya kula. ‘Kupasuka kwa pilipili hoho’ kwadokeza kwamba hamu ya mzee ya kula inapopungua, hata pilipili hoho haiwezi kuamsha hamu yake.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki