-
Yehova Ni Msaidizi WetuMnara wa Mlinzi—2004 | Desemba 15
-
-
21 Luka, mwandikaji wa Biblia, aliyeandamana na Paulo katika safari hiyo, anatuambia yaliyotukia: “Kutoka huko [Roma] akina ndugu, waliposikia habari juu yetu, wakaja kukutana nasi mpaka Soko la Apio na Mikahawa Mitatu.”
-
-
Yehova Ni Msaidizi WetuMnara wa Mlinzi—2004 | Desemba 15
-
-
Ndugu wale wengine walikuwa wakimngojea kwenye Mikahawa Mitatu, kituo cha kupumzikia kilichokuwa umbali wa kilometa 58 hivi nje ya jiji.
-