-
Shark Bay—Eneo la Ajabu la BahariniAmkeni!—2007 | Julai
-
-
Nyasi hizo za baharini huandaa chakula kwa ajili ya viumbe 10,000 hivi waitwao dugong, au ng’ombe wa baharini. Wanyama hao wapole na wenye udadisi mwingi ambao wanaweza kufikia uzito wa kilo 400, hula nyasi hizo, nyakati nyingine wakiwa katika makundi ya ng’ombe zaidi ya 100. Kwa sasa inaelekea kwamba huko Australia kaskazini ndiko ng’ombe hao wanapatikana kwa wingi zaidi ulimwenguni, kuanzia Shark Bay upande wa magharibi hadi Moreton Bay upande wa mashariki.b
-
-
Shark Bay—Eneo la Ajabu la BahariniAmkeni!—2007 | Julai
-
-
b Ingawa dugong wana uhusiano na nguva, wao ni wa jamii tofauti. Nguva wana mikia iliyojipinda nao dugong wana mikia iliyonyooka kama vile mikia ya pomboo.
-